#Football #Sports

RISING STARS WAKARIBISHWA KWA TAMASHA KUBWA

Timu ya taifa ya kandanda ya Kenya ya Vijana chini ya miaka 20, Harambee Rising Stars, imerejea nchini kwa makaribisho mema baada ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.

Timu hiyo ilijihakikishia nafasi yake kufuatia ushindi mkubwa dhidi ya Sudan na Burundi.

Kocha mkuu Salim Babu alionyesha kujivunia uchezaji wa timu hiyo lakini akabainisha haja ya maandalizi bora na ya mapema.

Kapteni Amos Wanjala alifurahia mafanikio yao.

Imetayarishwa na Nelson Andati

RISING STARS WAKARIBISHWA KWA TAMASHA KUBWA

VIDOSHO WA STARLETS WAWASILI UTURUKI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *