SENETA MOGENI AMSUTA SENETA CHERAGEI KWA KUWASILISHA MSWADA UNAOPENDEKEZA KUONGEZWA MUDA WA KUHUDUMU KWA VIONGOZI WA KISIASA
Seneta wa kaunti ya Nyamira Mogeni Erick Okong’o amemshutumu mwenzake wa nandi samson cherarigei kwa kuandaa mswada wa kuongeza muda wa kuhudumu kwa raisi na viongozi wengine kutoka kwa miaka mitano hadi miaka saba.
Akizungumza na wakaazi wa eneo la mugirago magharibi nyamira Mogeni amemsuta cherarigei kwa kuleta mswada huo akitaka auondee na kushughulikia maswala ambayo yanawakabili wakenya.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 









































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































