SHUJAA WAPANGWA KUNDI GUMU BAADA YA HONG KONG
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 7 kila upande, Shujaa, imepangwa katika kundi jingine linaloonekana gumu katika mkondo ujao wa ubingwa wa SVNS duniani jijini Valladolid, utakaosakatwa tarehe 29-31 mwezi ujao. Shujaa watamenyana na Afrika Kusini, Australia, na Uingereza kwenye Pool A, na wataelekea kwenye mkondo huo baada ya kumaliza katika nafasi ya 7 […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































