Online Gambling Establishments Accepting PayPal: A Comprehensive Guide

In recent years, on-line gambling enterprises have actually gotten immense appeal as a hassle-free means to appreciate gambling from the convenience of your very own home. While there are plenty of payment methods readily available, PayPal has actually emerged as one of one of the most relied on and commonly made use of choices. In […]

IKONE AIPIGA PSG NA KUINGIZA PARIS FC HATUA YA 16

Mchezaji wa zamani wa akademi ya Paris Saint-Germain, Jonathan Ikone, aliiumiza klabu yake ya zamani Jl baada ya kufunga bao pekee lililoipa Paris FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jiji hilo na kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Ufaransa. Ikone, aliyeingia kama mchezaji wa akiba, alifunga katika dakika 20 za […]

MANE NA SALAH WAKUTANA TENA NUSU FAINALI AFCON

Miaka mitatu baada ya mara yao ya mwisho kucheza pamoja, Sadio Mane na Mohamed Salah watakutana tena Jumatano lakini sasa wakiwa pande tofauti, Senegal ikichuana na Misri kuwania nafasi ya kufuzu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Mchuano wa hatua ya nusu fainali utakaochezwa katika jiji la Tangiers nchini Morocco utakuwa mara ya […]

ALILA ATAKA MIGOGORO FKF ITATULIWE NDANI

Aliyekuwa mgombea wa urais wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF) Tom Alila ameutaka uongozi wa sasa wa shirikisho hilo kumaliza migogoro inayoendelea ndani ya FKF, kufuatia hatua ya Afisa Mkuu Mtendaji Harold Ndege kwenda mahakamani kuzuia kuondolewa kwake kazini. Rais wa FKF Hussein Mohammed hivi karibuni amemtuhumu Ndege kwa utovu mkubwa wa nidhamu, hali ambayo […]

AK YASIFU TIMU YA KENYA BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI

Shirikisho la Riadha Kenya (AK) limesifu Timu ya Kenya kwa maonyesho ya kuvutia na uwakilishi bora wa taifa katika Mashindano ya 46 ya Dunia ya Mbio za Nyika. Timu ya Kenya inatarajiwa kurejea nchini baada ya kung’ara katika mashindano hayo yaliyofanyika Jumamosi mjini Tallahassee, Florida, Marekani. Kenya iliongoza jedwali la medali kwa mara ya tatu […]

XABI ALONSO AACHANA NA REAL MADRID, ARBELOA ATEULIWA KOCHA MPYA

Klabu ya Real Madrid imetangaza kwamba kocha Xabi Alonso ameondoka katika klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote, huku nafasi yake ikichukuliwa na Alvaro Arbeloa. Tangazo hilo lilikuja siku moja baada ya Real Madrid kupoteza fainali ya Kombe la Super Cup la Uhispania kwa Barcelona. Baada ya kipigo hicho, mabingwa hao wa zamani wa Ulaya […]

HOWE APINGA MABADILIKO YA KANUNI ANAPOJIANDAA KWA CITY

Kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, amekiri kuwa hangeunga mkono mabadiliko ya kanuni yaliyowezesha timu yake kukutana na Antoine Semenyo wakati watakapocheza dhidi ya Manchester City leo usiku katika mkondo wa kwanza wa mechi ya semi fainali ya Carabao Cup. Mabingwa hao watetezi wa Kombe la Carabao wanakabiliwa na mtihani mgumu hadi sasa katika jitihada zao za kutetea […]

CAF YAFUNGUA UCHUNGUZI BAADA YA VURUGU KATI YA ALGERIA, NIGERIA

Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limetangaza kuwa limefungua uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa kuchukua hatua za kinidhamu kufuatia tabia iliyoelezwa kuwa isiyokubalika baada ya wachezaji wa Algeria na Nigeria kukabiliana uwanjani mwishoni mwa mechi yao ya robo fainali ya Kombe la Mataifa bingwa ya Afrika, AFCON. Mvutano ulizuka uwanjani baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya Jumamosi iliyochezwa mjini Marrakesh, […]

KPL: AMBANI AAMINI AFC LEOPARDS TAYARI KUPIGANIA UBINGWA WA LIGI

Kocha mkuu wa AFC Leopards, Fred Ambani, amesema ana imani kubwa kuwa kikosi chake kiko tayari kutoa ushindani wa kweli katika mbio za kutwaa taji la Ligi Kuu ya Kenya, KPL, msimu huu. Ambani, ambaye alikuwa miongoni mwa kikosi kilichotwaa ubingwa wa mwisho wa ligi wa klabu hiyo mwaka 1998 pamoja na ndugu yake na mwenyekiti wa sasa wa […]

OGAMBA AONYA DHIDI YA SIASA SHULENI

Waziri wa Elimu Julius Ogamba amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kuingiza siasa katika masuala ya elimu, akisema hulka hizo zinaibua hofu miongoni mwa wazazi na wanafunzi nchini. Akizungumza katika kaunti ya Murang’a, Ogamba amerejelea kauli ya aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua kwamba wanafunzi wajiunge na shule za kitaifa zilizo katika maeneo wanakotoka, akisisitiza kuwa […]