MUYOTI ASIFU USHINDI WA KENYA POLICE DHIDI YA AFC LEOPARDS
Kocha mkuu wa Kenya Police Nicholas Muyoti amesema ushindi wao wa mabao matatu kwa bila dhidi ya AFC Leopards umetokana na mpango madhubuti wa kiufundi uliotekelezwa vizuri na wachezaji wake Muyoti amesema kuelewa mbinu za mpinzani pamoja na nidhamu ya kikosi chake uwanjani kulichangia sana kupata alama zote tatu huku akiwataka washambuliaji wake kuendelea kuwa […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































