KOCHA WA LEVERKUSEN AHOJI MBINU ZA ARSENAL KWENYE MIPIRA YA KONA
Kocha wa Bayer Leverkusen Kasper Hjulmand amehoji uhalali wa mbinu za mipira ya set – piece zinazotumiwa na Arsenal kabla ya mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayochezwa hii leo nchini Ujerumani. Akizungumza katika mkutano na wanahabari Hjulmand ameuliza iwapo kuziba wapinzani wakati wa mipira ya kona kunafaa kuruhusiwa, hasa ikizingatiwa kuwa mbinu hizo zimekuwa […]
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































