14 WAAGA, 16 WAJERUHIWA KWENYE AJALI WEBUYE
Watu 14 wameaga dunia huku wengine 16 wakiachwa na majeraha usiku wa kuamkia leo baada ya kugongwa na trela karibu na eneo la Malaha kwenye barabara kuu ya Webuye kuelekea Kitale. Kwa mujibu wa OCPD wa Webuye Rosemary Odeke, 14 hao waliaga dunia papo hapo baada ya kugongwa na trela hiyo, ripoti zikionyesha kuwa umati […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































