KCB YAKWEPA KIKAANGO CHA MENENGAI OILERS
Timu ya KCB RFC ilionyesha ukakamavu katika kipindi cha pili na kujiondoa kwenye kikaango cha Menengai, baada ya kuwazaba wanamafuta hao 25-15 katika kipute cha Kenya Cup ugani ASK Showgrounds.Menengai walitangaza hatari mapema ila wakabaki wakijilaumu kwa nafasi walizopoteza ikiwemo penalti ambayo huenda ingewapa uongozi.KCB walitumia fursa hiyo kuwakaanga kwa mafuta yao, Nick Okullo akivuka […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































