MASENETA WATAKA AKAUNTI ZA MAGAVANA ‘WATUNDU’ KUFUNGWA

Mvutano kati ya maseneta na magavana kuhusu madai ya magavana kuitishwa hongo wanapofika kwenye seneti umechukua mkondo mpya, maseneta sasa wakimtaka mdhibiti wa bajeti ya serikali kufunga akaunti za magavana watakaokosa kufika mbele ya kamati za seneti kujibu maswali kuhusu matumizi ya fedha kwenye kaunti zao. Kwenye mswada ulio katika bunge hilo, maseneta wamehoji kuwa […]

MAHAKAMA YAIDHINISHA FAINI ZA PAPO HAPO

Mfumo mpya wa mamlaka ya usalama barabarani, NTSA, kuwatoza faini za papo hapo madereva wanaovunja sheria za trafiki utaendelea kutekelezwa, baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi iliyokuwa ikiupinga. Kwa mujibu wa walalamishi wakiongozwa na dereva Kennedy Maingi, mfumo huo unaipa NTSA mamlaka ya kuwanyanyasa madereva barabarani, hoja ambayo NTSA imepinga ikisema mfumo huo unalenga […]

KAMATI YA KIUFUNDI KUFANIKISHA MAZUNGUMZO YA UDA-ODM

Mazungumzo ya ushirikiano wa kisiasa kati ya vyama vya UDA na ODM kuelekea uchaguzi mkuu ujao yatafanikishwa na kamati ya kiufundi yenye wanachama 8. Haya yamependekezwa na Rais William Ruto, akizungumza baada ya kupokea ripoti ya utekelezaji wa ajenda 10 zilizoafikiwa baina ya vyama hivyo mwaka jana, na kusema kuwa ripoti ya kamati hiyo itawasilishwa […]

The Increase of Mobile Online Casinos: The Ultimate Guide

Invite to the ultimate guide to mobile online casino sites! In this interesting article, we will certainly explore the globe of mobile betting and just how it has actually transformed the means we play casino site games. Whether you are an experienced player or new to on-line gaming, this guide will certainly offer you with […]

OUNDO AFUNIKA AFC LEOPARDS KWA UTAFITI WA UBINGWA

Kiungo wa kati Mousa Oundo amesisitiza kuwa ni wakati mwafaka kwa AFC Leopards kushirikiana kwa dhati katika Ligi Kuu ya Kenya ili kurejea ubingwa. Oundo, kimbilio la ulinzi na dira ya hisia ya klabu, amesema wachezaji wanatambua matarajio makubwa ya mashabiki waliosubiri miongo kadhaa kuona Ingwe wakiibuka mabingwa. Ujasiri umeongezeka ndani ya kikosi cha Leopards […]

SHUMAH ANG’ARA LIGI KUU ZAMBIA

Mshambuliaji wa Kenya Moses Shumah anaendelea kung’ara katika msimu wa 2025/2026 akiwa na klabu ya Power Dynamos FC ya Zambia, akijidhihirisha kama mmoja wa washambuliaji tegemeo kuelekea mashindano ya AFCON 2027. Mchezaji huyo wa zamani wa Kakamega Homeboyz anaongoza orodha ya wafungaji katika MTN Super League ya Zambia akiwa na mabao 12 tangu ajiunge na […]

KATYWA AMUAMINI CANTONA KABRAS

Kocha mkuu wa Kabras Sugar RFC Carlos Katywa ameonyesha imani kwa mchezaji Eric Cantona baada ya kuchukua jukumu kubwa zaidi kufuatia Ntabeni Dukisa kuhamia majukumu ya ukocha. Kabras Sugar wanaongoza jedwali la Kenya Cup kwa alama 47 baada ya raundi ya kumi, wakiwa mbele ya mahasimu wao KCB kwa alama mbili huku Menengai Oilers wakishika […]

CHEPNGETICH ANG’ARA MASHINDANO YA NCAA

Mwanariadha wa Kenya anayeng’ara katika mbio za masafa ya kati Gladys Chepngetich anaelekea katika mashindano ya NCAA Division One Indoor Championships yatakayofanyika Machi 13 hadi 14 mjini Fayetteville, Arkansas, akiwa kipenzi katika mbio za mita 800 kwa wanawake. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Clemson alivutia dunia ya riadha Januari alipokimbia muda wa dakika 1 sekunde […]

FAMILIA YAPOTEZA WATU SITA KWA AJALI YA MALAHA

Familia moja kutoka Wadi ya Mihuu katika Eneo Bunge la Webuye Mashariki inaomboleza vifo vya watu sita wa familia hiyo waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea Malaha Junction kwenye barabara ya Webuye–Kitale, ajali iliyosababisha vifo vya watu 15. Kwa mujibu wa msemaji wa familia hiyo Ezekiel Kinisu, jamaa hao walikuwa wamekusanyika eneo hilo kushuhudia ajali […]

DUALE AKANUSHA KUPOTEA KWA SH BILIONI 50 ZA SHA

Waziri wa Afya Aden Duale amekanusha madai kwamba shilingi bilioni 50 zilipotea katika Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), akisema takwimu zilizochapishwa katika moja ya magazeti ya humu nchini zilipotoshwa. Duale amesema taarifa hizo zilitokana na kutoeleweka kwa taratibu za uhasibu wa kisheria pamoja na mchakato wa mpito wa kifedha. Katika taarifa yake, amesema kiasi […]