BAJETI YA ZIADA YA IEBC YAIBUA MASWALI 

Wabunge wameibua maswali kuhusu mahitaji ya shilingi milioni 888 za ziada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC, ambazo tume hiyo inasema zitatumika kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Kwa mujibu wa IEBC, fedha hizo zitatumika kuwasajili wapiga kura wapya, kujenga kituo cha mawasiliano, ununuzi wa magari mapya ya makamishna na kumlipa afisa mkuu […]

KeNHA YATAKIWA KUONDOA TRELA BARABARANI

Mamlaka ya barabara kuu nchini KeNHA imetakiwa kusaka barabara mbadala kwa malori ya masafa marefu yanayotumia barabara kuu ya Webuye kuelekea Kitale, ili kupunguza visa vya ajali ambavyo vimehusishwa na malori hayo. Wakizungumza baada ya kuzitembelea familia za waathiriwa wa mkasa wa ajali katika eneo la Malaha Junction, mbunge wa Kimilili Didmus Barasa na mwenzake […]

FAMILIA ZA MKASA MALAHA ZAJIANDAA KWA MAZISHI

Familia zilizowapoteza jamaa zao kwenye mkasa wa ajali katika eneo la Malaha Junction kwenye barabara kuu ya Webuye kuelekea Kitale zimeanzisha mipango ya mazishi ya wapendwa wao, huku majonzi yakiendelea kutanda katika vijiji hasa Sipala, kilichowapoteza watu 9 usiku huo. Waathiriwa 6 kati ya jumla ya 15 ni ndugu wa familia moja ya David Kimisu, […]

Blackjack in Oregon – A Digital Frontier

Ever picture yourself on a quiet patio, a cool drink in hand, and a deck of virtual cards dancing on your screen? That’s the vibe of Oregon’s online blackjack scene. The state’s growing tech culture and recent regulatory changes have turned it into a hub where strategy and convenience meet. Why Oregon’s Online Blackjack Is […]

Betting with MTN MoMo: A Comprehensive Overview

Mobile cash has changed the means people in Africa conduct financial purchases, and currently, it’s making its mark on the planet of sporting activities betting. MTN MoMo, a prominent mobile cash service in several African nations, has made it much easier than ever for users to put bets on their favored sporting activities events. So, […]

Live Blackjack in Tennessee: Navigating the Digital Horizon Online blackjack has moved beyond a simple card game, becoming a digital experience that fuses real‑time interaction with advanced tech. In Tennessee, a state traditionally cautious about gambling, live blackjack platforms have opened fresh opportunities for players and operators alike. This piece looks at the rules, the […]

MBUNGE KIBAGENDI ADAI KUTISHWA BAADA YA KUZUNGUMZIA UFISADI

Mbunge wa Kitutu Chache Kusini Antony Kibagendi sasa anadai anakabiliwa na vitisho katika kile anachosema ni juhudi za kumnyamazisha kufuatia madai yake kuhusu ufisadi katika Wizara ya Afya. Kibagendi anadai kuwa mashirika ya serikali kama vile Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) pamoja na Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) yametumiwa […]

MASENETA WATAKA KESI ZA SHERIA YA SUKARI KUHARAKISHWA

Kundi la Maseneta kutoka maeneo yanayolima miwa limewasilisha ombi kwa Jaji Mkuu Martha Koome likitaka mahakama kuharakisha kusikilizwa kwa kesi zinazochelewesha utekelezaji wa Sheria ya Sukari Na. 11 ya mwaka 2024. Wabunge hao wakiongozwa na Kiongozi wa Wengi katika Seneti Aaron Cheruiyot, pamoja na Maseneta wengine 16 kutoka kaunti za ukanda wa miwa, wanasema mizozo […]

LINDA MWANANCHI YATOA “RIPOTI YA WANANCHI” KUHUSU AJENDA 10

Kundi la Linda Mwananchi ndani ya chama cha ODM limetoa kile walichokiita “Ripoti ya Wananchi” inayotathmini utekelezaji wa ajenda ya vipengele kumi iliyotiwa saini kati ya kiongozi wa zamani wa chama hicho marehemu Raila Odinga na Rais William Ruto. Kundi hilo limesema ripoti hiyo inalenga kuwawajibisha wanaohusika na utekelezaji wa ajenda hiyo kwa niaba ya […]

SIFUNA APINGA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA AJENDA 10

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amepuuza madai kwamba ajenda ya vipengele kumi kati ya chama cha ODM na serikali ya Kenya Kwanza imetekelezwa. Sifuna amesema kamati iliyokuwa ikisimamia utekelezaji wa ajenda hiyo ilishindwa kuwasilisha ripoti yake ya mwisho kufikia tarehe ya mwisho ya Machi 7, na badala yake ikatoa maelezo kwa kundi dogo katika kile […]