MFUMO MPYA WA FAINI ZA TRAFIKI WA NTSA WAPINGWA
Ombi limewasilishwa mahakamani kupinga mfumo mpya wa NTSA wa utoaji wa faini za papo kwa hapo kwa wanaokiuka sheria za trafiki, huku likitaka utekelezaji wake usimamishwe mara moja. Ombi hilo lililowasilishwa na Kennedy Maingi Mutwiri linajiri baada ya NTSA kutangaza kuwa mfumo huo mpya wa usimamizi wa faini za trafiki umeanza kutumika. Mlalamishi anadai mfumo huo […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































