KINDIKI AWATAKA MABALOZI KUITANGAZA KENYA
Naibu Rais, Kithure Kindiki, amewataka mabalozi wa Kenya kuitangaza nchi kama salama na yenye fursa za uwekezaji, akisema ni jukumu lao kuvutia wawekezaji na wageni. Akizungumza wakati wa kufunga kongamano la 19 la mabalozi jijini Nairobi, Kindiki amesisitiza umuhimu wa mabalozi kushiriki kikamilifu katika kukuza taswira ya taifa kimataifa. Aidha ameongeza kuwa Kenya imepiga hatua kubwa […]
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































