SHUJAA WAREJEA NCHINI KUTOKA BRAZIL
Timu ya taifa ya raga ya wanaume ya wachezaji 7 kila upande, Shujaa, imerejea nchini kutoka Sao Paulo Brazil ambako walitia for a katika mkondo wa mwisho wa HSBC SVNS II, na kufuzu awamu ya mabingwa. Shujaa ilimaliza katika nafasi ya 3 katika mikondo miwili ya kwanza iliyoandaliwa Kenya na Uruguay, kabla ya kuhitimisha kampeni […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































