UHABA WA MAFUTA WANUKIA
Serikali imejiandaa kuwalinda wakenya dhidi ya bei ghali ya mafuta kutokana na uhaba wa bidhaa hiyo unaotarajiwa kufikia katikati mwa mwezi huu, ikisema itatumia takribani shilingi bilioni 17 kutoka hazina ya udhibiti wa bei kuwakinga wakenya dhidi ya bei ya juu ila kwa kipindi kifupi. Akiwa mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu fedha […]
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































