FIFA WORLD CUP: DR CONGO WAIZIMA JAMAICA, ITALIA NJE GYOKERES AKIBEBA SWEDEN
Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, ilijikatia tiketi ya kufuzu mashindano ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu miaka 52 iliyopita, baada ya kuilaza Jamaica bao 1-0 katika fainali ya mechi za mchujo wa mabara, Intercontinental play-off. Katika mechi iliyosakatwa katika uwanja wa Guadalajara nchini Mexico, kiungo wa Burnley […]
English 

































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































