#Local News

RUTO KUHUTUBIA BUNGE LA TANZANIA

Rais William Ruto ameratibiwa kulihutubia bunge la kitaifa la Tanzania Jumanne wiki ijayo, ikiwa n ani sehemu za kuimarisha uhusiano baina ya mataifa hayo mawili.

Kulingana na taarifa kutoka afisi ya spika wa bunge hilo, wabunge wamehamishwa kuhusu kikao hicho kitakachoanza saa tano asubuhi, akiwataka wabunge hao kufika bila kukosa ili kusikiliza hotuba ya rais mgeni.

Ametaja hotuba hiyo kuwa muhimu nay a kihistoria, ikitarajiwa kuhudhuria na viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *