#Local News

WAKULIMA TRANS NZOIA WAPINGA RUZUKU YA MBEGU

Wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia wametofautiana na mpango wa ruzuku kwa mbegu za mahindi uliotolewa na wizara ya kilimo wiki jana, wakisema bei zilizopunguzwa haziambatani na gharama ya uzalishaji wa mahindi.

Kwa mujibu wa wakulima hao, wizara ya kilimo ilipaswa kuwashirikisha kupitia vikao vya kukusanya maoni ili kubaini bei hitajika ya mbegu hizo.

Licha ya ruzuku hiyo kuonekana afueni, wakulima wameipinga.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *