#Local News

WAFANYIBIASHARA WEBUYE WALALAMIKIA AGIZO LA KENHA

Wafanyibiashara wanaoendesha shughuli zao katika soko la Dina mjini Webuye wamelalamikia hatua ya mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu kuwataka waondoke katika sehemu wanayofanyia kazi.

Wakiongozwa na Abel Wanjala wamemtaka gavana wa Bungoma Ken Lusaka na mbunge wa sehemu hiyo Dan Wanyama kuingilia kati na kuwatengea sehemu maalum ya kufanyia biashara.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

WAFANYIBIASHARA WEBUYE WALALAMIKIA AGIZO LA KENHA

MAFUTA YAPUNGUA KWA SHILINGI 1

WAFANYIBIASHARA WEBUYE WALALAMIKIA AGIZO LA KENHA

MWANAMME AMUUA NDUGUYE HOMABAY

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *