#Local News

SAKAJA: MFUMO WA MAJITAKA FINYU

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amekariri kuwa mfumo wa majitaka katika jiji la Nairobi hauwezi kuhimili kiwango cha mafuriko, hatua anayosema itatatuliwa kupitia kwa mkataba wa ushirikiano kati ya serikali yake na ile ya kitaifa.

Kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga, Sakaja amesisitiza kuwa mfumo wa mapato ya kaunti pekee hauwezi kutoa suluhisho kwa changamoto hizo za mara kwa mara jinsi ilivyo kwa kaunti nyingine.

Ametoa hakikisho kwamba ushirikiano wa hivi majuzi utatoa suluhu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SAKAJA: MFUMO WA MAJITAKA FINYU

MVUA YA MAANGAMIZI

SAKAJA: MFUMO WA MAJITAKA FINYU

RUTO: TUTAONGEA NA ODM KWA USAWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *