#Local News

AZIMIO YAWATIMUA WAASI

Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umeratibiwa kutangaza majina ya viongozi wapya wa muungano huo kujaza nafasi za viongozi waliofurushwa baada ya kujiunga na mirengo hasimu ya kisiasa au kuteuliwa serikalini.

Miongoni mwa waliotimuliwa ni mbunge wa Suna East Junet Mohammed kutoka wadhifa wa kiongozi wa kundi la wabunge wa Azimio, nafasi yake ikijazwa na mwenzake wa Suba South Caroli Omondi.

Kwa mujibu wa kinara wa Azimio Kalonzo Musyoka, wengine waliofurushwa na mawaziri Ali Hassan Joho na Wycliffe Oparanya, mbunge wa Pokot South David Pkosing, Mishi Mboko wa Likoni, Adan Keynan wa ELdas miongoni mwa wengine.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AZIMIO YAWATIMUA WAASI

FKF KUANDAA DROO YA FKF CUP

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *