#Local News

BAJETI YA ZIADA YA IEBC YAIBUA MASWALI 

Wabunge wameibua maswali kuhusu mahitaji ya shilingi milioni 888 za ziada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC, ambazo tume hiyo inasema zitatumika kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao.

Kwa mujibu wa IEBC, fedha hizo zitatumika kuwasajili wapiga kura wapya, kujenga kituo cha mawasiliano, ununuzi wa magari mapya ya makamishna na kumlipa afisa mkuu mtendaji aliyeondoka Marijan Hussein Marijan.

Hata hivyo, wabunge wametilia shaka mahitaji hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

BAJETI YA ZIADA YA IEBC YAIBUA MASWALI 

USHAURI WA NATEMBEYA KWA IEBC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *