#Local News

WALIOANGAMIA KWENYE AJALI KISII KUZIKWA LEO

Watu 6 waliouawa kupitia ajali ya barabara katika eno la Kegati kwenye barabara ya Kisii-Keroka wiki mbili zilizopita watazikwa hii leo katika hafla tofauti kwenye eneo bunge la Nyaribari Chache.

6 hao waliangamia baada ya trela lililoripotiwa kukata breki, kupoteza mwelekeo na kuwagonga katika soko la Kegati.

Ibada ya pamoja ya mazishi kwa 6 hao itaandaliwa katika shule ya msingi ya Kegati.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *