#Local News

RUTO AAHIDI MAENDELEO ZAIDI NYANZA

Rais William Ruto ameahidi kuliimarisha kiuchumi eneo la Nyanza, analosema limebaguliwa kwa muda mrefu na serikali zilizopita.

Akizungumza katika kaunti ya Homa Bay alikozindua miradi ya maendeleo, amekariri kuwa atatekeleza ruwaza walioafikiana na aliyekuwa Waziri mkuu marehemu Raila Odinga.

Amewataka wakazi kuwatathmini viongozi kwa misingi ya maendeleo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *