#Local News

EACC YAONYA WANASIASA DHIDI YA MATUMIZI MABAYA YA MALI YA UMMA

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini (EACC)  imetoa onyo kwa wanasiasa walio madarakani dhidi ya kutumia mali ya umma kuendesha kampeni zao.

Wakizungumza jijini Nakuru , viongozi wa tume hiyo wamesisitiza umuhimu wa uadilifu katika utumizi wa rasilimali za umma.

Aidha, wameeleza kuwa ufisadi umeorodheshwa kama janga la pili nchini baada ya tatizo la ukosefu wa ajira.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *