#Football #Sports

HARVEY BARNES KUCHUKUA NAFASI YA EZE KATIKA TIMU YA UINGEREZA

Mchezaji wa Newcastle, Harvey Barnes, anatarajiwa kuitwa katika kikosi cha England chini ya Thomas Tuchel kuchukua nafasi ya Eberechi Eze aliyejeruhiwa.

Eze hakuwemo katika kikosi cha Arsenal katika fainali ya Carabao Cup Jumapili ambapo walipoteza 2-0 dhidi ya Manchester City kutokana na jeraha la mguu wa chini.

Barnes tayari amewahi kuitwa mara moja mnamoOktoba 2020, ikiwa ni mchezo wa kwanza na wa pekee katika kikosi cha England kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Wales.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *