#Local News

MAGEUZI YA POLISI YAFIKIA ASILIMIA 55

Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani, Raymond Omollo, amesema Kenya imefikia utekelezaji wa asilimia 55 ya mageuzi ya polisi yanayoendelea nchini kufuatia mkutano wa ngazi ya juu wa kamati ya usalama wa taifa.

Mageuzi hayo, yaliyoanzishwa kwa maelekezo ya rais, yanalenga kuimarisha taasisi za usalama, kuboresha utoaji huduma na kuboresha mifumo ya kipolisi kote nchini.

Omollo amesema maendeleo makubwa yamepatikana katika maeneo muhimu ikiwemo utawala, sheria na ustawi wa maafisa wa polisi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MAGEUZI YA POLISI YAFIKIA ASILIMIA 55

VIFO VYA MAFURIKO VYAFIKIA 88

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *