#Local News

AFUENI YA SHA KWA WAFANYAKAZI

Ni afueni kwa maelfu ya walimu walio chini ya muungano wa KUPPET baada ya bima ya afya SHA kuwawekea kiwango cha malipo ya hospitali kutoka shilingi 1,200 hadi shilingi 10,000 kila mara wanapozuru hospitali kutibiwa.

Kulingana na Waziri wa afya Aden Duale, hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa kutatua changamoto walizokuwa wakikumbana nazo wanaposaka matibabu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *