KAUNTI ZATAKIWA KUTHIBITI MAAMBUKIZI YA MPOX
Serikali za kaunti zimetakiwa kuimarisha ufuatiliaji ili kuthibiti kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa mpox.
Waziri wa afya Debora Mulongo amesema kuwa serikali ya kitaifa iko macho kuhakikisha visa ibuka vinathibitiwa ili kumwondolea mkenya hofu na unyanyapaa unaohusishwa na ugonjwa huo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































