WAKAZI WA BUSIA WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA SHA
Wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Busia kuzidisha juhudi za kujiandikisha katika bima mpya ya afya kwa jamii SHA kwa manufaa yao binafsi.
Gavana wa kaunti ya Busia Paul Otwoma amelalamikia idadi ndogo ya wakazi wa kaunti hiyo wanaojitokeza kujisajili kwenye SHA huku akitoa wito kwa viongozi wa kisiasa kujitolea kuwahamasisha wakazi wa Busia kuhusu umuhimu wa kijiunga na SHA ili kuwapa moyo wakazi wajiandikishe ili waweze kunufaika na huduma mbali mbali za afya.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































