NYUFA WAZI ODM
Mgawanyiko ndani ya chama cha ODM umejitokeza wazi baada ya kundi la viongozi wa chama hicho linalijiita Linda Wananchi kujitokeza na kuahidi kufanya mikutano ya kupinga hadharani ushirikiano kati ya chama hicho na serikali. Miongoni mwa viongozi hao ni katibu mkuu Edwin Sifuna, gavana wa Siaya James Orengo, naibu kinara wa ODM Godfrey Osotsi na […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































