HSBC SEVENS YAPATA UFADHILI ZAIDI
Shindano la HSBC Sevens, linalotarajiwa kufanyika wiki hii katika Uwanja wa Taifa wa Nyayo, limepata msaada mkubwa baada ya kampuni ya mawasiliano Safaricom, kupitia chapa yake ya M-PESA, kutoa KSh10 milioni kwa ajili ya hafla hiyo. Victor Odada, Kiongozi wa Ushirikiano na Mipango wa M-PESA, amesisitiza umuhimu wa kushiriki kwa wakenya wote katika mashindano haya, akiwataka mashabiki kuja […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































