KENYA YAVUNJA REKODI BARANI AFRIKA MPIRA WA VIKAPU
Kenya imevunja rekodi ya kuwa timu ya kwanza barani Afrika kufuzu katika kategoria mbili za wanawake na wanaume katika mashindano ya Commonwealth ya mchezo wa vikapu wa 3×3 yatakayoandaliwa jijini Glasgow, Scotland baadaye mwaka huu. Timu ya wanawake iliweka msingi wake wa kufuzu mnamo mwaka 2023, walipoichabanga Misri 21-20 katika kombe la FIBA Africa 3×3, […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































