HARAMBEE STARLETS WANOLEWA MAKALI KABLA YA WAFCON 2026
Timu ya taifa ya soka ya wanawake, Harambee Starlets, imeongeza makali ya maandalizi yake kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, WAFCON 2026, kupitia kambi ndogo ya ndani inayolenga kuchunguza vipaji vipya na kuimarisha kikosi. Kambi hiyo inayoendelea imewakutanisha wachezaji waliobobea kutoka ligi za humu nchini, na kuwapa fursa ya kupata uzoefu wa kuchezea […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































