BIDCO WATATAFUTA KUVUNJA MSURURU WA MECHI BILA USHINDI
Bidco United wanatafuta kumaliza msururu wa mechi 12 bila ushindi watakapowakaribisha Kakamega Homeboyz alasiri ya leo mjini Murang’a, huku michuano ya Kenya Premier League ikirejea baada ya mapumziko ya FKF Cup. Bidco, walioko nafasi ya 19 wakiwa na pointi 16, wanahitaji ushindi kwa dharura ili kujinasua kutoka eneo la kushuka daraja. Ni tofauti ya pointi […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































