GACHAGUA ASEMA RUTO LAZIMA AONDOKE 2027
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amepuuzilia mbali mjadala unaoendelea kuhusu nani atakayekuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027, akisema mjadala huo hauna maana. Gachagua amesema mjadala huo unalenga kupotosha Wakenya, hasa kutoka eneo la Mlima Kenya, na kuondoa umakini wao katika masuala muhimu yanayowahusu. Aidha, ameongeza kuwa iwapo Ruto atamchagua Gladys Wanga […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































