MZOZO WA ARDHI TRANSMARA
Wanakijiji katika mpaka wa Transmara na Migori wanalilia serikali kuwanusuru dhidi ya watu walio na lengo la kuwafurusha katika makao yao kwa njia ya mkato. Wenyeji hao wanadai kuhangaishwa na wanaomezea mate ardhi hiyo huku wakidai zaidi ya vijana 15 wakikamatwa kiholela kufuatia mzozo wa mara kwa mara kuhusu mashamba yaliyoko katika mpaka huo. Sasa wanaomba maafisa wakuu […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































