POLISI WACHUNGUZA MAKABILIANO YA ALAI-BABU
Polisi jijini Nairobi wanaendeleza uchunguzi katika tukio ambapo mbunge wa Embakasi East Babu Owino anadai kushambuliwa na mwakilishi wadi ya Kileleshwa Robert Alai kwenye makabiliano yanayodaiwa kuhusisha tishio la ufyetuaji wa risasi. Kwenye tukio hilo lililofanyika katika eneo moja la burudani mtaani Kilimani, Owino ambaye tayari ameandikisha taarifa na polisi, anadai kushambuliwa na Alai alipokuwa […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































