KNCHR: FIDIA KWA WAATHIRIWA WA GHASIA ZA MAANDAMANO SI PESA PEKEE
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini imesisitiza kuwa mpango wa kutoa fidia kwa waathiriwa wa ghasia zilizotokana na maandamano unalenga kutambua makosa yaliyofanyika na kutoa haki, si malipo ya fedha pekee. Akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na wanahabari, mwenyekiti wa tume hiyo Claris Ogangah amesema fidia hiyo inapaswa kueleweka kwa upana na kujumuisha […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































