MUDAVADI: HAKUNA FIDIA KWA WAATHIRIWA WA URUSI
Wakenya waliouawa au kujeruhiwa katika vita kati ya Urusi na Ukraine hawatapewa fidia na serikali, na badala yake serikali itawasaidia wanaotaka kurejea nchini kufanya hivyo. Akizungumza jijini Moscow, Urusi, Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi, amepuzilia mbali uwezekano wa serikali kuwapa fidia wakenya hao, akisisitiza msimamo wa Urusi kwamba walijitolea kupigana katika vita hivyo. Familia za […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































