RUTO ASUTA UPINZANI WAKATI WA ZIARA MAGHARIBI
Rais William Ruto amewashutumu viongozi wa upinzani akisema hawana ajenda madhubuti kwa Wakenya akidai kuwa hawajawasilisha mpango wowote unaolenga kuboresha maisha ya Wakenya. Akizungumza wakati wa ziara yake katika eneo la Magharibi mwa nchi, Rais amesema baadhi ya wanasiasa wanajihusisha zaidi na siasa badala ya kutoa suluhu kwa changamoto zinazowakabili wananchi Ziara ya Rais katika eneo […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































