NYOTA WA STARLETS WAELEZA MATUMAINI YA KUNG’AA WAFCON

Maandalizi ya kikosi cha taifa cha wanawake Harambee Starlets kwa dimba la taifa bingwa barani Afrika kwa wanawake WAFCON 2026 yamepamba moto, huku kikosi cha awali kilichotajwa kikiimarisha mazoezi yake. Beki wa kikosi hicho Diana Shakava, ameelezea matumaini ya nyota yake nay a kikosi kizima kung’aa katika mashindano hayo yatakayoanza katikakati mwa mwezi ujao nchini […]

MURKOMEN ATETEA IDARA YA USALAMA

Huku idara ya usalama ikishutumiwa kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa Jumapili kwenye mkutano wa katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna katika eneo la Kitengela, Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen ameitetea idara hiyo, akisema haikufahamishwa kuhusu mkutano huo ili kutoa ulinzi kwa waliohudhuria. Kwenye mkutano katika kaunti ya Nakuru, Murkomen ameonya kuhusu ongezeko la visa […]

VIONGOZI WA ODM WAMKOSOA KENYATTA 

Kundi la viongozi kutoka magaharibi mwa nchi limeendeleza shutuma zake dhidi ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwa madai ya kufadhili mrengo wa ODM unaoongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna, wakisema hatua hiyo itavuruga azma ya eneo hilo kutwaa uongozi wa taifa hili baada ya Rais William Ruto. Walikuwa wakizungumza katika eneo bunge la Malava, huku […]

RUSSIA-UKRAINE: UCHUNGUZI WAFICHUA MTANDAO WA ULAGHAI

Imebainika kuwa kuna mtandao unaotumika kuwasafirisha kisiri wakenya kupigana katika vita kati ya Urusi na Ukraine, ukiwajumuisha maafisa wa idara ya uhamiaji, idara ya usalama na baadhi ya wafanyakazi wa balozi za Kenya zilizo katika mataifa ya nje. Akizungumza bungeni, kiongozi wa walio wengi Kimani Ichung’wa, amesema hayo yalifichuliwa na uchunguzi wa pamoja wa idara […]

KAULI YA RUTH ODINGA KUHUSU USHIRIKIANO WA ODM-UDA

Bado ni mapema kwa chama cha ODM kuingia kwenye makataba wa kisiasa na UDA kuelekea uchaguzi mkuu ujao, ikizingatiwa kuwa ajenda 10 zilizoafikiwa kati ya Rais William Ruto na kinara mwanzilishi wa ODM marehemu Raila Odinga hazijatekelezwa. Haya ni kulingana na Ruth Odinga, ambaye ni mwakilishi wa kike wa kaunti ya Kisumu na dadake Odinga, […]

Статистика 1хБет: топ аналитических инструментов для успешной игры

Статистика 1хБет: топ аналитических инструментов для успешной игры Когда дело доходит до успешной игры на спортивных ставках, статистика является одним из ключевых факторов, помогающих игрокам принимать обоснованные решения. В этом материале мы рассмотрим, какие инструменты статистики 1хБет могут значительно повысить ваши шансы на успех. Углубимся в аналитические данные, доступные на платформе, и выясним, как их […]

FAITH KIPYEGON KUONGOZA MBIO ZA 3000M MONACO

Mshindi mara tatu wa Olimpiki, Faith Kipyegon, amethibitishwa kuongoza mbio za wanawake wa mita 3000 katika hafla ya Herculis EBS Monaco itakayofanyika Julai 10, mwaka huu. Kiungo huyo mahiri wa mbio za kati atarejea Stade Louis-II, miaka mitatu baada ya kuvunja rekodi ya dunia ya maili moja huko mwaka 2023, alipoanza kuibua hisia kwa mashabiki wa mbio za kimataifa. Rekodi […]

MULINDI AUNGA MKONO BONIFACE AMBANI AFC LEOPARDS

Katibu Mkuu wa AFC Leopards, Isaac Mulindi, amempongeza Mwenyekiti Boniface Ambani kwa juhudi zake za kuinua klabu na kuishirikisha kwenye mapambano ya kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya. AFC Leopards imeonyesha kuibuka tena kama nguvu ya kuhesabiwa katika ligi chini ya uongozi wa Ambani, ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 37 alama sita […]

ADHIAMBO AELEKEZA NGUVU  KWENYE KLABU

Baada ya kupitia mafanikio na changamoto za soka la kimataifa, Jerrine Adhiambo sasa ameweka nguvu zake katika majukumu ya klabu kwa azma mpya. Kiungo huyo mahiri wa Mathare Women amesema yuko tayari kuchangia kikamilifu ili kusaidia timu hiyo kupandishwa daraja hadi Ligi Kuu ya Wanawake Kenya. Kauli yake inajiri muda mfupi baada ya kurejea kutoka kikosi cha taifa cha Harambee […]

FAKHIR AWATAKA ZETECH SPARKS KUPIGANIA MAFANIKIO ZAIDI

Kocha wa Zetech Sparks, Harriet Fakhir, amewataka wachezaji wake kupigania pointi zote tatu watakapokutana na Kisumu All Starlets katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Shirikisho la Soka Kenya itakayochezwa Jumamosi, 21 Februari, kwenye uwanja wa Zetech, Thika. Fakhir, aliyechukua mikoba ya ukufunzi wa timu mnamo Septemba 2024 akimrithi Benard Kitolo Nzioki, ameiongoza Zetech […]