BUNGE KUANGAZIA UTEUZI WA NLC
Bunge linatarajiwa kuwapiga msasa watu 7 walioteuliwa na Rais William Ruto kuwa makamishna wa tume ya kitaifa ya ardhi, NLC, baada ya Rais Ruto kuwasilisha majina hayo bungeni. Saba hao ni pamoja na Dr Abdillahi Saggaf (Kwale) ambaye ameteuliwa kuwa mwenyekiti, wanachama wakiwa Susan Khakasa Oyatsi kutoka Kakamega, Daniel Murithi (Meru), Kigeni Vincent Cheruiyot (Kericho), […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































