PEREIRA AANZA KWA KISHINDO FOREST IKIICHANA FENERBAHÇE
Kocha mkuu wa Nottingham Forest Vitor Pereira alianza kwa kishindo katika klabu hiyo kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fenerbahçe katika mkondo wa kwanza wa mwondoano wa dimba la Europa League jana usiku, nao Stuttgart wakiilaza Celtic mbao 4-1. Pereira aliteuliwa kuwa mkufunzi wa 4 wa Forest msimu huu baada ya kukubali kutia Saini […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































