WANGA A ANDIKA BARUA YA HISIA KWA ORENGO
Gavana wa Kaunti ya Homa Bay Gladys Wanga ameandika barua ya wazi yenye hisia kwa Gavana wa Kaunti ya Siaya James Orengo akisema kauli zake za hivi karibuni zilimuumiza na kumfedhehesha. Katika taarifa hiyo, Wanga amesema anaongea kama mtu binafsi na si kama Gavana wa Homa Bay wala kama mwenyekiti wa chama cha ODM. Amesema alikaa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































