MAGUIRE AENDELEZA MKATABA MANCHESTER UNITED
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Harry Maguire, amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja na klabu hiyo, ukiwemo uwezekano wa kuongeza mwaka mwingine. Maguire mwenye umri wa miaka 33, ambaye mkataba wake wa sasa ungeisha mwishoni mwa msimu huu, aliungana na Manchester United kutoka Leicester City mwaka 2019 kwa kiasi cha pauni milioni 80, rekodi ya dunia […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































