AMBANI ALALAMIKIA UKOSEFU WA MABAO
Kocha wa AFC Leopards, Fred Ambani, amelalamikia ukosefu wa umakini wa kutikisa nyavu baada ya timu yake kutoka sare ya bila mabao dhidi ya Bandari katika Uwanja wa Mbaraki, jana. Licha ya sare hiyo, Ambani aliwasifu wachezaji wake kwa kuonyesha moyo wa kupambana chini ya hali ya hewa ya ukanda wa pwani aliyoitaja kuwa ngumu na […]
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































