UCL: TUDOR ASEMA SPURS WANA UWEZO WA REMONTADA
Kocha wa Tottenham Hotspurs Igor Tudor amesema timu yak eina uwezo wa kubadilisha matokeo wakati wakivaana na Atletico Madrid usiku wa leo kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya. Spurs walibamizwa mabao 5-2 na Atletico kwenye mechi ya mkondo wa kwanza. Katika Michuano mingine, Barcelona watakua uwanjani camp nou kuvaana na Newcastle United mwendo wa […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































