AFC LEOPARDS YASAKA KUJIKWAMUA DHIDI YA NAIBOIS
Miamba wa soka nchini AFC Leopards watashuka uwanjani hii leo dhidi ya Nairobi United, Leopards maarufu kama Ingwe wakilenga kuweka kando masaibu yao na kuonyesha mwamko mpya. Ingwe wataingia uwanjani leo wakiwa na majeraha ya kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Mathare United wikendi iliyopita, kichapo kilichodidimiza matumaini ya kunyakua taji la ligi kuu ya […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































