RUTO AAHIDI KUILINDA HOSPITALI YA NAIROBI DHIDI YA WAHUJUMU
Rais William Ruto amevunja ukimya wake kuhusu mzozo unaoikumba The Nairobi Hospital, akiahidi kuilinda dhidi ya watu aliowataja kuwa matapeli wanaotaka kuihujumu. Kwa mujibu wa Rais, baadhi ya maafisa wa hospitali hiyo walimfikia wakitaka aingilie kati kuhusu madai ya jaribio la kuiteka, ombi ambalo amesema atalishughulikia kwa dhati. Wakati huo huo, Ruto amesema ameagiza hatua za […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































