SERIKALI YAKANA KUWAPA WAGENI PASPOTI
Serikali imejitenga na madai ya utoaji wa paspoti za usafiri kwa raia wa kigeni wakiwemo makamanda wa kundi la wapiganaji nchini Sudan, RSF, jinsi ilivyoripotiwa. Akiwa mbele ya bunge, katibu katika idara ya uhamiaji Belio Kipsang ameshikilia kuwa paspoti hizo hutolewa tu kwa watu walio na stakabadhi kama vitambulisho vya kitaifa nav yeti vya kuzaliwa. […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































